![]() |
Mzee Alfredy Raphael Kiswaga |
Baba leo unatimiza miaka kumi na tano toka ulipotutoka. Mtoto wak Fredy Kiswaga, Kaka na dada pamoja na ndugu, jamaa, marafiki na majirani wanakukumbuka siku ya leo, huku wakiwa na imani kuwa japo kimwili haupo nao, lakini kimawazo na upendo viko pale pale.
Siku ya Jumapili Oktoba 12, 2014 kutakuwa na misa ya kumbukumbukatika Kanisa Katoliki la Mwenge la Mt. Maximilian saa mbili asubuhi.
Nyote mnakaribishwa kumkumbuka na kumuombea
Mzee Alfredy Raphael Kiswaga.
Mbarikiwe sana.