Rais Jakaya Mrisho                Kikwete akihutubia wakati wa ufunguzi rasmi wa barabara ya                Mwenge-Tegeta  leo katika eneo la Lugalo njiapanda ya Kawe                jijini Dar es salaam. Ujenzi na upanuzi wa barabara ya                Mwenge-Tegeta Km 12.9, ni sehemu ya mkakati wa Serikali ya                Tanzania wa kupunguza msongamano wa magari katika jiji la                Dar es Salaam.
                     Wananchi wakifurahia                hotuba ya  Rais Jakaya Mrisho Kikwete wakati wa ufunguzi                rasmi wa barabara ya Mwenge-Tegeta  leo katika eneo la                Lugalo njiapanda ya Kawe jijini Dar es salaam. Ujenzi na                upanuzi wa barabara ya Mwenge-Tegeta Km 12.9, ni sehemu ya                mkakati wa Serikali ya Tanzania wa kupunguza msongamano wa                magari katika jiji la Dar es Salaam.
                      Rais Jakaya Mrisho                Kikwete akihutubia wakati wa ufunguzi rasmi wa barabara ya                Mwenge-Tegeta  leo katika eneo la Lugalo njiapanda ya Kawe                jijini Dar es salaam. Ujenzi na upanuzi wa barabara ya                Mwenge-Tegeta Km 12.9, ni sehemu ya mkakati wa Serikali ya                Tanzania wa kupunguza msongamano wa magari katika jiji la                Dar es Salaam.
                      Wapiga picha wa vyombo                mbalimbali vya habari wakiwa tayari tayari kumrekodi Rais                Jakaya Mrisho Kikwete akifungua  rasmi wa barabara ya                Mwenge-Tegeta  leo katika eneo la Lugalo njiapanda ya Kawe                jijini Dar es salaam. Ujenzi na upanuzi wa barabara ya                Mwenge-Tegeta Km 12.9, ni sehemu ya mkakati wa Serikali ya                Tanzania wa kupunguza msongamano wa magari katika jiji la                Dar es Salaam.
                      Rais Jakaya Mrisho                Kikwete na Balozi                  wa Japan nchini Tanzania Mhe. Masaki Okada                 wakifungua kitambaa kuashiria ufunguzi rasmi wa barabara                ya Mwenge-Tegeta  leo katika eneo la Lugalo njiapanda ya                Kawe jijini Dar es salaam. Ujenzi na upanuzi wa barabara                ya Mwenge-Tegeta Km 12.9, ni sehemu ya mkakati wa Serikali                ya Tanzania wa kupunguza msongamano wa magari katika jiji                la Dar es Salaam. Wengine ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam                Mhe Saidi Meck Sadiki, Meya wa Konondoni Mhe, Mbunge wa                Kawe  Mhe Halima Mdee na Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Dar                es salaam Ndg Ramadhani Madabida
                     Rais Jakaya Mrisho                Kikwete na Balozi                  wa Japan nchini Tanzania Mhe. Masaki Okada                 wakifurahia baada ya kufungua kitambaa kuashiria ufunguzi                rasmi wa barabara ya Mwenge-Tegeta  leo katika eneo la                Lugalo njiapanda ya Kawe jijini Dar es salaam. Ujenzi na                upanuzi wa barabara ya Mwenge-Tegeta Km 12.9, ni sehemu ya                mkakati wa Serikali ya Tanzania wa kupunguza msongamano wa                magari katika jiji la Dar es Salaam. Wengine ni Mkuu wa                Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Meck Sadiki, Meya wa                Konondoni Mhe, Mbunge wa Kawe  Mhe Halima Mdee na                Mwenyekiti wa CCM wa mkoa wa Dar es salaam Ndg Ramadhani                Madabida
                     Rais Jakaya Mrisho                Kikwete na Balozi                  wa Japan nchini Tanzania Mhe. Masaki Okada  wakikata                utepe  kuashiria ufunguzi rasmi wa barabara ya                Mwenge-Tegeta  leo katika eneo la Lugalo njiapanda ya Kawe                jijini Dar es salaam. Ujenzi na upanuzi wa barabara ya                Mwenge-Tegeta Km 12.9, ni sehemu ya mkakati wa Serikali ya                Tanzania wa kupunguza msongamano wa magari katika jiji la                Dar es Salaam. Wengine ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam                Mhe Saidi Meck Sadiki, Meya wa Konondoni Mhe, Mbunge wa                Kawe  Mhe Halima Mdee, Katibu Mkuu wa Wizara ya                  Ujenzi Mhandisi Musa Iyombe na viongozi                  wengine
                     Sehemu ya barabara  ya                Mwenge-Tegeta yenye urefu wa Km 12.9, ambayo ni sehemu ya                mkakati wa Serikali ya Tanzania wa kupunguza msongamano wa                magari katika jiji la Dar es Salaam.
                       Rais Jakaya Mrisho                Kikwete na Balozi                  wa Japan nchini Tanzania Mhe. Masaki Okada  wakikata                utepe  kuashiria ufunguzi rasmi wa barabara ya                Mwenge-Tegeta  leo katika eneo la Lugalo njiapanda ya Kawe                jijini Dar es salaam. Ujenzi na upanuzi wa barabara ya                Mwenge-Tegeta Km 12.9, ni sehemu ya mkakati wa Serikali ya                Tanzania wa kupunguza msongamano wa magari katika jiji la                Dar es Salaam. Wengine ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam                Mhe Saidi Meck Sadiki, Meya wa Konondoni Mhe, Mbunge wa                Kawe  Mhe Halima Mdee, Katibu Mkuu wa Wizara ya                  Ujenzi Mhandisi Musa Iyombe na viongozi                  wengine
                     Rais Jakaya Mrisho                Kikwete na Balozi                  wa Japan nchini Tanzania Mhe. Masaki Okada  baada ya                ufunguzi rasmi wa barabara ya Mwenge-Tegeta  leo katika                eneo la Lugalo njiapanda ya Kawe jijini Dar es salaam.                Ujenzi na upanuzi wa barabara ya Mwenge-Tegeta Km 12.9, ni                sehemu ya mkakati wa Serikali ya Tanzania wa kupunguza                msongamano wa magari katika jiji la Dar es Salaam. Wengine                ni Mkuu wa Mkoa wa Dar es salaam Mhe Saidi Meck Sadiki,                Mbunge wa Kawe  Mhe Halima Mdee, Katibu Mkuu wa Wizara ya                  Ujenzi Mhandisi Musa Iyombe na viongozi                  wengine.