Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya                  Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa Balozi Rajabu                  Gamaha.
                      Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya                  Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa                  Balozi Rajabu Gamaha akisalimiana na Balozi wa Heshima kutoka Michigan                  Marekani ambaye pia ni Rais wa Taasisi ya  Sumake Global                  Partiner, Robert Shumake  ambaye aliongozana na                  ujumbe wa Marekani wa watu 10 na kufanya nao mazungumzo                  Dar es Salaam leo asubuhi. Ujumbe huo unajumuisha                  mabalozi wa heshima wa Tanzania nchini Marekani na                  wafanyabiashara waliopo nchini kwa ajili ya kuangalia                  fursa za uwekezaji na vivutio vya utalii.
                      Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya                  Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa                  Balozi Rajabu Gamaha (katikati), akizungumza na ujumbe                  huo.
                     Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya                  Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa                  Balozi Rajabu Gamaha akisalimiana na Balozi wa Heshima kutoka Marekani ambaye                  pia ni Mkurugenzi Mtendaji wa Kampuni ya Kufua Umeme ya                  Tanas Energy Group, William Crawford. Kushoto ni Balozi                  wa Heshima kutoka California Marekani. Habari                zaidi bofya hapa http://www.habari za jamii.com
                     Ujumbe huo                  ukimsikiliza Kaimu Katibu Mkuu Wizara ya                    Mambo ya Nje na Ushirikiano                    wa Kimataifa Balozi Rajabu Gamaha. Wa kwanza kushoto                    na wa pili ni maofisa wa wizara hiyo.
                     Ujumbe huo ukimsikiliza Kaimu Katibu Mkuu wa wizara                  hiyo. Wa pili kushoto ni ofisa wa wizara. 
                     Ujumbe huo ukiwa katika mkutano huo na                  Kaimu Katibu Mkuu.
                     Ujumbe huo ukiwa katika mkutano huo na                  Kaimu Katibu Mkuu.
                     Kaimu Katibu                    Mkuu Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano                    wa Kimataifa Balozi Rajabu Gamaha (Wa pili kulia                    mbele) akiwa katika picha ya pamoja na Ujumbe                  huo uliofika nchini kuangalia fursa za uwekezaji.