Thursday, October 09, 2014

BALOZI KAMALA ATAMBUA MCHANGO WA TAASISI YA CUSHMAN NA WAKEFIELD ILIYOSAIDIA UJENZI WA SEKONDARI YA MIONO YA MKOANI PWANI

BALOZI KAMALA ATAMBUA MCHANGO WA TAASISI YA CUSHMAN NA WAKEFIELD ILIYOSAIDIA UJENZI WA SEKONDARI YA MIONO YA MKOANI PWANI
Balozi wa Tanzania Ubelgiji, Luxembourg na Jumuiya Ulaya Dr. Diodorus Buberwa Kamala (kushoto) akimkabidhi cheti Bwana Boris Van Haare Heijmeijer Meneja wa Ulaya wa taasisi ya Cushman na Wakefield cha kutambua mchango wa taasisi hiyo wa kusaidia ujenzi wa Sekondari ya Miono ya Mkoani Pwani. Taasisi hiyo imechangia Shilingi Bilioni 1.2 na imehaidi kuongeza Shilingi Milioni Mia Mbili. Balozi Kamala ameishukuru taasisi hiyo na ameiomba iendelee kusaidia shule hiyo.