Wajumbe                wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam                wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky                Sadick (wa tatu kushoto), wakiwa katika ziara ya kukagua                maendeleo ya ujenzi wa daraja la Kigamboni jijini Dar es                Salaam leo. Daraja hilo linajengwa kwa  ufadhili wa                Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Shirika la                Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF). Wa nne kushoto ni Meneja                Mradi ujenzi wa daraja hilo, Mhandisi John Msemo. (Picha                na Francis Dande)
                         Wajumbe wa Halmashauri                Kuu ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam wakiongozwa na Mkuu wa                Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick (kulia),                wakiwasili katika eneo la Mradi wa Ujenzi wa daraja la                Kigamboni jijini Dar es Salaam. 
        Meneja Mradi wa Ujenzi wa Daraja la Kigamboni Mhandisi John Msemo (kulia), akipeana mkono na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick mara baada ya kuwasili katika eneo la mradi huo.
 Wajumbe wa Halmashauri                Kuu ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam wakimsikiliza Menja Mradi                Ujenzi wa Daraja la Kigamboni Mhandisi, John Msemo.
                 Taarifa za ujenzi.
                 Mwenyekiti wa CCM Mkoa                wa Dar es Salaam, ramadhani Madabida akifafanua jambo                baada ya kupata maelezo ya ujenzi wa daraja la Kigamboni.
                 Mkuu wa Mkoa akifafanua                jambo.
                Mwenyekiti wa CCM Wilaya                ya Kinondoni, Salum Madenge akiuliza swali kuhusu mradi                huo. 
                Mhandisi John Msemo                akitoa ufafanuzi wa ujenzi wa Daraja la Kigamboni kwa                 Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dar es Salaa                walipofanya ziara ya kuangalia maeledelo ya ujenzi wa                daraja hilo. 
                Mhandisi John Msemo                akitoa ufafanuzi kuhusu ujenzi wa Daraja la Kigamboni                kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dar es Salaa                walipofanya ziara ya kuangalia maeledeleo ya ujenzi wa                daraja hilo. 
                 Msimamizi wa mradi huo                Mhandisi Karim Mataka akielekea katika eneo la ujenzi wa                daraja.
                 Mwenyekiti wa CCM Mkoa                wa Dar es Salaam, Ramadhani Madabida akiwa katika ziara                hiyo.
                 Mhandisi John Msemo.
                 Mkuu wa Mkoa wa Dar es                Salaam, Said Mecky Sadick
                Wajumbe wakikagua                maendeleo ya ujenzi. 
                 Wajumbe wakikagua                maendeleo ya ujenzi.
                 Eneo la ujenzi wa                Daraja la Kigamboni.
                  Mkuu wa Mkoa wa Dar es                Salaam, Said Mecky Sadick akiwa na Meneja Mradi wa Ujenzi                wa Daraja hilo, Mhandisi John Msemo wakati wa kuangalia                maendeleo ya ujenzi wa daraja hilo linalojengwa na NSSF                kwa kushirikiana na Serikali. 
                 Mhandisi Msemwa akitoa                ufafanuzi kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam.
                 Moja ya nguzo za Daraja                hilo.
                 Ufafnuzi ukitolewa na                Msimamizi wa Ujenzi wa Daraja hilo Mhandisi Karim Mataka.
                 Mhandisi John Msemo                akitoa maelezo kwa Wajumbe hao.
Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam wakiongozwa na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick (wa pili kushoto), wakiwa katika ziara ya kukagua maendeleo ya ujenzi wa daraja la Kigamboni jijini Dar es Salaam leo. Daraja hilo linajengwa kwa ufadhili wa Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Shirika la Taifa la Hifadhi ya Jamii (NSSF). Wa tatu kushoto ni Meneja Mradi ujenzi wa daraja hilo, Mhandisi John Msemo.
Wajumbe wakiwa katika ziara hiyo.
Baadhi ya barabara za kuingia katika daraja hilo.
Mhandisi John Msemo kutoka NSSF akitoa ufafanuzi kuhusu ujenzi wa Daraja hilo kwa Wajumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Mkoa wa Dar es Salaam.
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam akizungumza katika eneo la Ujenzi wa Daraja la Kigamboni.
Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Salum Madenge akizungumza baada ya kukagua ujenzi wa Daraja la Kigamboni.
Meneja Mradi Daraja Kigamboni Mhandisi John Msemo (wa pili kushoto) akiagana na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, Salum Madenge.
Msimamizi wa Ujenzi wa Daraja la Kigamboni, Mhandisi Karim Mataka akiagana na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Said Mecky Sadick.