Friday, September 19, 2014

JK ATUA WASHINGTON DC KWA MIKUTANO MBALIMBALI PAMOJA NA HAFLA YA USIKU WA JAKAYA




JK ATUA WASHINGTON DC KWA MIKUTANO MBALIMBALI PAMOJA NA HAFLA YA USIKU WA JAKAYA
 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa ameongozana na Balozi wa Tanzania nchini Marekani Mhe. Liberata Mulamula mara baada ya kuwasili katika uwanja wa ndege wa La Guardia jijini Washington DC tayari kwa kushiriki katika mikutano mbalimbali na pia katika hafla ya "USIKU WA JAKAYA"  leo jioni
 Rais Kikwete akilakiwa na maafisa wa ubalozi wa Tanzania nchini Marekani baada ya kuwasili hoteli aliyofikia
 Karibu Washington DC Mheshimiwa
 Rais akiendelea kusalimia na na wafanyakazi wa ubalozini
 Mapokezi yakiendelea
 Rais Kikwete akisalimiana na Bw. Lucas Mkama wa Vijimambo Blog
Karibu sana Mzee...