Thursday, August 14, 2014

Washindi wa shindano la uwekezaji “DSE Scholar Investment Challenge 2014” wapatikana jijini dar



washindi wa shindano la uwekezaji "DSE Scholar Investment Challenge 2014" wapatikana jijini dar
 Mshindi wakwanza wa shindano la uwekezaji "DSE Scholar Investment Challenge 2014" Laurent Dyanko kutoka chou kikuu cha kilimo, Sokoine University of Agriculture (SUA) akikabidhiwa zawadi wa shilingi milioni moja na cheti cha ushindi
 Mshindi wapili wa shindano la uwekezaji "DSE Scholar Investment Challenge 2014" George Firimini kutoka chuo cha usimaniza wa fedha, Institute of Finance Management (IFM) akikabidhiwa zawadi wa shilingi laki sita na cheti cha ushindi
 Mshindi watatu wa shindano la uwekezaji "DSE Scholar Investment Challenge 2014" Godlove Kellya kutoka chuo kikuu cha Dar es Salaam akikabidhiwa zawadi ya shilingi laki nne na cheti cha ushindi


Washindi watatu bora shindano la uwekezaji "DSE Scholar Investment Challenge 2014" Laurent Dyanko, George Firmini na Godlove Kellya katika picha ya pamoja na mwakilishi kutoka benki ya NMB, mkuu kitengo cha njia za huduma mbadala.



Afisa mtendaji mkuu wa Dar es Salaam Stock Exchange akiongea na wanafunzi walioshiriki katika shindano la uwekezaji "DSE Scholar Investment Challenge 2014" wakati wa hafla ya kuwatambua wanafunzi hamsini bora na uandaaji wa mchakato wa kutafuta washindi watatu bora wa shindano hilo. Katikati ni bwana George Kivaria  mwakilishi benki ya NMB (wadhamini wa mashindano) kushoto ni Sosthenes Kewe  Mkurugenzi wa taasisi ya uendelezaji wa huduma za fedha.