Friday, August 01, 2014

VIDEO:Taarifa ya Habari Kutoka ITV: Wahanga walionusurika na maporomoko ya ardhi na kusababisha watu 24 wakiwemo watoto kupoteza maisha katika kata ya Mamba Myamba wilayani Same mwaka 2009 wamekataa nyumba walizojengewa na serikali wakidai kuwa zimejengwa katika maeneo yenye ukame ambayo hayana huduma zozote za kijamii.