Saturday, August 16, 2014

Redd's Miss Temeke




Redd's Miss Temeke
 Warembo wanaotarajia kushiriki mashindano ya Redd's Miss Temeke, wakipozi wakati wa mazoezi  katika Klabu ya TCC, Chang'ombe, Dar es Salaam. Mashindano yatafanyika kwenye klabu hiyo, Agosti 22,mwaka huu. PICHA NA MDAU KHAMIS MUSSA