Friday, August 01, 2014

Picha:Mbunge wa Jimbo la Kigamboni -CCM ,Dk Faustine Ndugulile Akabidhi Rasmi Madawati 650 Yenye Thamani ya Zaidi ya Shilingi Milioni 60,Kwa Shule 12 za Sekondari katika Tarafa ya Mbagala



Picha:Mbunge wa Jimbo la Kigambon -CCM ,Dk Faustine Ndugulile Akabidhi Rasmi Madawati 650 Yenye Thamani ya Zaidi ya Shilingi Milioni 60,Kwa Shule 12 za Sekondari katika Tarafa ya Mbagala
 
 MBUNGE wa Kigamboni,Dk Faustine Ndugulile, akikata utepe kuashiria tendo la kukabidhi madawati 650 yenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 60, kwa shule 12 za sekondari katika tarafa ya Mbagala, makabidhiano yaliyofanyika jana
 MBUNGE wa Kigamboni,Dk Faustine Ndugulile, akiwahutubia wazazi na wanafunzi wanaotoka katika shule 12 za sekondari katika tarafa ya Mbagala kabla ya kuzikabidhi shule hizo jumla ya madawati 650 zenye thamani ya zaidi ya shilingi milioni 69,makabidhiano yaliyofanyika katika shule ya sekondari Mbagala
 MBUNGE wa Kigamboni,Dk Faustine Ndugulile, (Katikati),akiwa na baadhi ya watendaji wa halmashauri ya manispaa ya Temeke idara ya elimu, mara baada ya kukabidhi madawati 650 kwa shule 12 za sekondari katika tarafa ya Mbagala jijini Dar es SalaaM