Wednesday, August 20, 2014

JK mgeni rasmi mashindano ya michezo kwa Shule za Sekondari Jumuiya ya Afrika Mashariki



JK mgeni rasmi mashindano ya michezo kwa Shule za Sekondari Jumuiya ya Afrika Mashariki
 Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya mashindano ya michezo kwa Shule za Sekondari za Jumuiya ya Afrika Mashariki(FEASSSA) Mhe. Mwantumu Mahiza akizungumza na waandishi wa habari (hawapo pichani)leo jijini Dar es Salaam kuhusu uzinduzi wa mashindano hayo yanayotarajiwa kuanza tarehe 22 na kuzinduliwa rasmi tarehe 24 na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete.
 Kutoka kushoto ni Katibu Mkuu wa TAMISEMI Jumanne Sagini, Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Juliana Yassoda, Mkuu wa Uhamasishaji wa Shirikisho la Michezo kwa Shuleza Sekondari Afrika Mashariki (FEASSSA)Bw. Felix Shija wakifuatilia maelezo ya : Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya mashindano ya michezo kwa Shule za Sekondari za Jumuiya ya Afrika Mashariki (FEASSSA) Mhe. Mwantumu Mahiza akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.
Mkurugenzi Msaidizi wa Maendeleo ya Michezo kutoka Wizara ya Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo Bibi. Juliana Yassoda  Mkuu wa Uhamasishaji na Matangazo wa Shirikisho la Michezo kwa Shule za Sekondari Afrika Mashariki (FEASSSA)Bw. Felix Shija wakifuatilia maelezo ya  Mwenyekiti wa Kamati ya maandalizi ya mashindano ya michezo kwa Shule za Sekondari za Jumuiya ya Afrika Mashariki (FEASSSA) Mhe. Mwantumu Mahiza wakati akizungumza na waandishi wa habari leo jijini Dar es Salaam.

Picha zote na Frank Shija,



Kitengo cha Mawasiliano Serikalini,WHVUM