Wednesday, July 16, 2014

ZINEDINE ZIDANE APEWA NAFASI KUBWA KUCHUKUA NAFASI YA KOCHA JUVENTUS




ZINEDINE ZIDANE APEWA NAFASI KUBWA KUCHUKUA NAFASI YA KOCHA JUVENTUS
Photo: #Usajili Baada ya kujiuzulu kwa Antonio Conte -              kocha msaidizi wa Real Madrid Zinedine Zidane anapewa nafasi              kubwa wa kurithi nafasi hiyo.
Baada ya kujiuzulu kwa Antonio Conte - kocha msaidizi wa Real Madrid Zinedine Zidane anapewa nafasi kubwa wa kurithi nafasi hiyo.