KAIMU KATIBU MTENDAJI BARAZA LA MITIHANI LA TANZANIA Dkt. Charles E. Msonde.
TAREHE: 16 JULAI 2014
TAARIFA YA MATOKEO YA MTIHANI WA KIDATO CHA SITA (ACSEE) ULIOFANYIKA MEI 2014
- UTANGULIZI
Baraza la Mitihani la Tanzania katika kikao chake cha 100 kilichofanyika tarehe 15 Julai, 2014liliidhinisha kutangazwa rasmi kwa matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) uliofanyika tarehe 05 – 21 Mei 2014. Matokeo haya yamechakatwa kwa kutumia viwango vya alama na madaraja ya ufaulu kama ilivyooneshwa katika Jedwali la 1 na la 2.
Jedwali la 1: Viwango vya Ufaulu.
Alama | Uwigo wa Alama |
A | 75 – 100 |
B+ | 60 – 74 |
B | 50 – 59 |
C | 40 – 49 |
D | 30 – 39 |
E | 20 – 29 |
F | 0 – 19 |
.Mtahiniwa atahesabiwa kuwa amefaulu somo endapo atakuwa amepata angalau gredi D (alama 30) katika somo husika. Hivyo, kiwango cha juu cha ufaulu katika somo ni Gredi A ambapo kiwango cha chini cha ufaulu (pass) katika somo ni Gredi D. Ufaulu katika gredi A, B+, B na C utakuwa ni 'Principal Pass'.
Jedwali la 2: Madaraja ya Ufaulu.
DARAJA | POINTI/VIGEZO |
I | 3 – 7 |
II | 8 – 9 |
III | 10- 13 |
IV | Awe na angalau D mbili au 'principal pass'moja isiyopungua C. |
O | Aliyepata ufaulu chini ya D mbili |
Uzito wa alama katika Gredi; A=1, B+= 2, B=3, C=4, D=5, E=6 na F=7.
- USAJILI NA MAHUDHURIO
- Watahiniwa wote
Jumla ya watahiniwa 41,968 waliandikishwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Sita 2014 wakiwemo wasichana 12,674 (30.20%) na wavulana 29,294 (69.80%). Watahiniwa wa Shule walikuwa 35,650 ikilinganishwa na watahiniwa 43,231 walioandikishwa kufanya mtihani huo mwaka 2013.
Kati ya watahiniwa 41,968 waliosajiliwa kufanya Mtihani wa Kidato cha Sita Mei 2014, watahiniwa 40,695 sawa na asilimia 96.97 walifanya mtihani na watahiniwa 1,273 sawa naasilimia 3.03 hawakufanya mtihani.
- Watahiniwa wa Shule
Kwa Watahiniwa wa Shule, kati ya watahiniwa 35,650 waliosajiliwa, watahiniwa 35,418 sawa na asilimia 99.35 walifanya mtihani ambapo wasichana walikuwa ni 11,022 (99.63%) na wavulana ni 24,396 (99.22%). Watahiniwa 232 (0.65%) hawakufanya mtihani.
- Watahiniwa wa Kujitegemea
Kwa upande wa Watahiniwa wa Kujitegemea, kati ya watahiniwa 6,318 waliosajiliwa, watahiniwa 5,277 sawa na asilimia 83.52 walifanya mtihani na watahiniwa 1,041 sawa na asilimia 16.48 hawakufanya mtihani.
- MATOKEO YA MTIHANI
- Watahiniwa Wote
Jumla ya watahiniwa 38,905 sawa na asilimia 95.98 ya watahiniwa waliofanya Mtihani wa Kidato cha Sita 2014 wamefaulu. Wasichana waliofaulu ni 12,080 sawa na asilimia 97.66wakati wavulana waliofaulu ni 26,825 sawa na asilimia 95.25.
Mwaka 2013 watahiniwa waliofaulu walikuwa ni 44,366 sawa na asilimia 87.85.
- Watahiniwa wa Shule
Watahiniwa wa Shule waliofaulu ni 34,645 sawa na asilimia 98.26 ya waliofanya mtihani. Wasichana waliofaulu ni 10,900 sawa na asilimia 99.20 na wavulana ni 23,745 sawa na asilimia97.84.
Mwaka 2013 Watahiniwa 40,242 sawa na asilimia 93.92 ya Watahiniwa wa Shule walifaulu mtihani huo.
- Watahiniwa wa Kujitegemea
Idadi ya Watahiniwa wa Kujitegemea waliofaulu mtihani ni 4,260 sawa na asilimia 80.73.Mwaka 2013 Watahiniwa wa Kujitegemea 4,124 sawa na asilimia 53.87 walifaulu mtihani huo.
- UBORA WA UFAULU
Ubora wa ufaulu kwa kuangalia madaraja waliyopata Watahiniwa wa Shule unaonesha kuwa jumla ya watahiniwa 30,225 sawa na asilimia 85.73 wamefaulu katika madaraja I – IIIwakiwemo wasichana 9,954 sawa na asilimia 90.59 na wavulana 20,271 sawa na asilimia83.53.
Jedwali lifuatalo linaonesha ufaulu kwa kila Daraja kwa Watahiniwa wa Shule na kwa Jinsi:
-
Daraja la UfauluWavulanaWasichanaJumlaIdadiAsilimiaIdadiAsilimiaIdadiAsilimiaI2,2329.201,54114.023,77310.70II6,17925.463,45231.429,63127.32III11,86048.874,96145.1516,82147.71IV3,47414.319468.614,42012.5405242.16880.806121.74
- UFAULU WA MASOMO KWA WATAHINIWA WA SHULE
Jedwali lifutalo linaonesha kuwa ufaulu wa watahiniwa wa shule katika masomo yote (14) ya msingi umepanda ikilinganishwa na mwaka 2013. Ufaulu wa juu kabisa ni ule wa somo laKiswahili ambapo asilimia 99.88 ya watahiniwa wote wa Shule waliofanya somo hilo wamefaulu. Aidha, ufaulu katika masomo ya Sayansi (Physics, Chemistry, Biology na Advanced Mathematics) umeendelea kuimarika kwa kulinganisha na ufaulu wa masomo hayo mwaka 2013.
-
Na.MASOMOWALIOFAULU 2013WALIOFAULU 2014IDADIASILIMIAIDADIASILIMIA111GENERAL STUDIES 16,50738.5332,59092.44112HISTORY 18,98797.3313,30899.90113GEOGRAPHY 20,57896.8719,08999.48114DIVINITY 2,67490.612,28096.65115ISLAMIC KNOWLEDGE 70557.3643673.28121KISWAHILI 11,84096.956,38499.98122ENGLISH LANGUAGE 11,08193.618,11199.04123FRENCH 8891.675998.33125ARABIC 80182.3244393.86131PHYSICS 5,78846.349,31178.41132CHEMISTRY 13,80983.8715,34095.78133BIOLOGY 9,18187.0510,69397.57134AGRICULTURE 53798.3535099.72136COMPUTER SCIENCE 7480.439498.95141BASIC APPLIED MATHEMATICS 7,82749.4811,37077.39142ADVANCED MATHEMATICS 6,89569.328,53789.40151ECONOMICS 8,17393.537,58999.57152COMMERCE 1,57388.5782199.76153ACCOUNTANCY 1,66093.4281999.27155FOOD AND HUMAN NUTRITION 10798.17121100
- SHULE ZILIZOFANYA VIZURI ZAIDI
Ubora wa shule umepangwa kwa kutumia kigezo cha Wastani wa Pointi (Grade Point Average – GPA) ambapo A=1, B+= 2, B=3, C=4, D=5, E=6 na F=7.
Mchanganuo wa upangaji wa Shule zilizofanya vizuri umezingatia shule zenye idadi ya watahiniwa wasiopungua 30.
6.1 Shule kumi (10) bora
-
NaJINA LA SHULEIDADI YA WATAHINIWAMKOA1IGOWOLE S S 30IRINGA 2FEZA BOYS' S S 60DAR ES SALAAM 3KISIMIRI S S 52ARUSHA 4IWAWA S S 39NJOMBE 5KIBAHA S S 167PWANI 6MARIAN GIRLS S S 138PWANI 7NANGWA S S 97MANYARA 8UWATA S S 30MBEYA 9KIBONDO S S 62KIGOMA 10KAWAWA S S 47IRINGA
6.2 Shule kumi (10) za Mwisho
-
NaJINA LA SHULEIDADI YA WATAHINIWAMKOA1BEN BELLA S S 105UNGUJA 2FIDEL CASTRO S S 69PEMBA 3TAMBAZA S S 322DAR ES SALAAM 4MUHEZA HIGH SCHOOL 117TANGA 5MAZIZINI S S 97UNGUJA 6MTWARA TECHNICAL S S 103MTWARA 7IYUNGA TECHNICAL S S 158MBEYA 8AL-FALAAH MUSLIM S S 37UNGUJA 9KALIUA S S 237TABORA 10OSWARD MANG'OMBE S S 122MARA
- WATAHINIWA WALIOFANYA VIZURI ZAIDI
Watahiniwa waliofanya vizuri zaidi wamepatikana kwa kuangalia wastani wa Pointi (GPA)kwenye masomo ya tahasusi (combination) pamoja na wastani wa alama za jumla walizopata.
- Watahiniwa Kumi (10) Bora kwa Masomo ya Sayansi Kitaifa
-
Na.JINAJINSISHULEMKOAMCHEPUO1ISAACK A SHAYO M ST.JOSEPH'S CATHEDRAL DAR ES SALAAM PCM 2DORIS ATIENO NOAH F MARIAN GIRLS PWANI PCM 3INNOCENT SABBAS YUSUFU M FEZA BOYS' DAR ES SALAAM PCB 4PLACID EZEKIEL PIUS M MOSHI KILIMANJARO PCM 5BENNI B SHAYO M ILBORU ARUSHA PCM 6ABUBAKAR JUMA M MZUMBE MOROGORO PCM 7MWAMINIMUNGU CHRISTOPHER M TABORA BOYS TABORA PCM 8CHIGULU JAPHALY M MZUMBE MOROGORO PCM 9HUSSEIN PARPIA M AL-MUNTAZIR ISLAMIC SEMINARY DAR ES SALAAM PCM 10RAMADHANI ALLY MSANGI M FEZA BOYS' DAR ES SALAAM PCM
- Wasichana Kumi (10) Bora kwa Masomo ya Sayansi Kitaifa:
-
Na.JINASHULEMKOAMCHEPUO1DORIS ATIENO NOAH MARIAN GIRLS PWANI PCM 2MONICA E MTEI MARIAN GIRLS PWANI PCB 3WEMA KIBANGA MARIAN GIRLS PWANI PCB 4DEBORAH A MLAWA MARIAN GIRLS PWANI PCM 5DOREEN P KASHUSHURA MARIAN GIRLS PWANI PCM 6HEAVENLIGHT M MUNISI ST.MARY GORETI KILIMANJARO PCM 7FRIDA MBILINYI MSALATO DODOMA PCM 8AISHA A MNJOVU FEZA GIRLS' DAR ES SALAAM PCM 9GLORY KWEKA MSALATO DODOMA PCM 10MULHAT AHMED SAID FEZA GIRLS' DAR ES SALAAM PCM
- Wavulana Kumi (10) Bora kwa Masomo ya Sayansi Kitaifa:
-
Na.JINASHULEMKOAMCHEPUO1ISAACK A SHAYO ST.JOSEPH'S CATHEDRAL DAR ES SALAAM PCM 2INNOCENT SABBAS YUSUFU FEZA BOYS' DAR ES SALAAM PCB 3PLACID EZEKIEL PIUS MOSHI KILIMANJARO PCM 4BENNI B SHAYO ILBORU ARUSHA PCM 5ABUBAKAR JUMA MZUMBE MOROGORO PCM 6MWAMINIMUNGU CHRISTOPHER TABORA BOYS TABORA PCM 7CHIGULU JAPHALY MZUMBE MOROGORO PCM 8HUSSEIN PARPIA AL-MUNTAZIR ISLAMIC SEMINARY DAR ES SALAAM PCM 9RAMADHANI ALLY MSANGI FEZA BOYS' DAR ES SALAAM PCM 10LUSEKELO A KIHESYA MPWAPWA DODOMA PCM
- Watahiniwa Kumi (10) Bora kwa Masomo ya Biashara Kitaifa
-
Na.JINAJINSISHULEMKOAMCHEPUO1JOVINA LEONIDAS F NGANZA MWANZA ECA 2NESTORY MAKENDI M KIBAHA PWANI ECA 3IMMA ANYANDWILE M UMBWE KILIMANJARO ECA 4THERESIA CYPRIAN MARWA F LOYOLA DAR ES SALAAM ECA 5GRACE DAVID CHELELE F LOYOLA DAR ES SALAAM ECA 6BETRIDA J RUGILA F BAOBAB PWANI ECA 7JACQUELINE V KALINGA F WERUWERU KILIMANJARO ECA 8TAJIEL ELISHA KITOJO F ARUSHA ARUSHA ECA 9SHRIYA SANJIV RAMAIYA F SHAABAN ROBERT DAR ES SALAAM ECA 10MWANAID MWAZEMA F WERUWERU KILIMANJARO ECA
- Wasichana kumi (10) Bora kwa Masomo ya Biashara Kitaifa
-
Na.JINASHULEMKOAMCHEPUO1JOVINA LEONIDAS NGANZA MWANZA ECA 2THERESIA CYPRIAN MARWA LOYOLA DAR ES SALAAM ECA 3GRACE DAVID CHELELE LOYOLA DAR ES SALAAM ECA 4BETRIDA J RUGILA BAOBAB PWANI ECA 5JACQUELINE V KALINGA WERUWERU KILIMANJARO ECA 6TAJIEL ELISHA KITOJO ARUSHA ARUSHA ECA 7SHRIYA SANJIV RAMAIYA SHAABAN ROBERT DAR ES SALAAM ECA 8MWANAID MWAZEMA WERUWERU KILIMANJARO ECA 9VAILETH KALAGO NGANZA MWANZA ECA 10MARY ROBERT NGOWA NGANZA MWANZA ECA
- Wavulana Kumi (10) Bora kwa Masomo ya Biashara Kitaifa
-
Na.JINASHULEMKOAMCHEPUO1NESTORY MAKENDI KIBAHA PWANI ECA 2IMMA ANYANDWILE UMBWE KILIMANJARO ECA 3KELVIN NZOWA KIBAHA PWANI ECA 4KIBHULI MWITA KIBAHA PWANI ECA 5PRINCE MBWATE MWAMBAJA ST.JOSEPH'S CATHEDRAL DAR ES SALAAM ECA 6ERASTO SONELO KIBAHA PWANI ECA 7JOEL MATHEW MHANA KIBAHA PWANI ECA 8SADICK MWANGA LUHEYA KIBAHA PWANI ECA 9SHEWISHI H RAYMOND UMBWE KILIMANJARO ECA 10ANTONY VICENT MUSHI UMBWE KILIMANJARO ECA
- Watahiniwa Kumi (10) Bora kwa Masomo ya Lugha na Sanaa Kitaifa
-
Na.JINAJINSISHULEMKOAMCHEPUO1LISA VICTOR MIMBI F ST.MARY GORETI KILIMANJARO EGM 2ROSALYN A TANDAU F MARIAN GIRLS PWANI EGM 3JOSEPH NGOBYA M ST.JOSEPH'S CATHEDRAL DAR ES SALAAM EGM 4ANETH D MTENGA F MARIAN GIRLS PWANI EGM 5IDDA MICHAEL LAWENJA F MARIAN GIRLS PWANI HGL 6EDNA EMMANUEL MWANKENJA F KISIMIRI ARUSHA HKL 7CATHERINE J KIIZA F ST.MARY'S MAZINDE JUU TANGA HKL 8NANCY ADON SWAI F MWIKA KILIMANJARO EGM 9MOHAMED SALMIN M MWANZA MWANZA HGK 10IDRISA HAMISI M MWEMBETOGWA IRINGA HGL
- Wasichana Kumi (10) Bora kwa Masomo ya Lugha na Sanaa Kitaifa
-
Na.JINASHULEMKOAMCHEPUO1LISA VICTOR MIMBI ST.MARY GORETI KILIMANJARO EGM 2ROSALYN A TANDAU MARIAN GIRLS PWANI EGM 3ANETH D MTENGA MARIAN GIRLS PWANI EGM 4IDDA MICHAEL LAWENJA MARIAN GIRLS PWANI HGL 5EDNA EMMANUEL MWANKENJA KISIMIRI ARUSHA HKL 6CATHERINE J KIIZA ST.MARY'S MAZINDE JUU TANGA HKL 7NANCY ADON SWAI MWIKA KILIMANJARO EGM 8HADIJA YUSUPH NGONYANI MWANZA MWANZA HKL 9VICTORIA R NDOSI ASHIRA KILIMANJARO HGE 10ZUHURA SHABANI MKILALU MARIAN GIRLS PWANI EGM
- Wavulana Kumi (10) Bora kwa Masomo ya Lugha na Sanaa Kitaifa
-
Na.JINASHULEMKOAMCHEPUO1JOSEPH NGOBYA ST.JOSEPH'S CATHEDRAL DAR ES SALAAM EGM 2MOHAMED SALMIN MWANZA MWANZA HGK 3IDRISA HAMISI MWEMBETOGWA IRINGA HGL 4SELEMAN RAPHAEL NDIKIMINWE HUMURA KAGERA HKL 5SUNDAY MWAKIPAGALA ALPHA DAR ES SALAAM EGM 6ERASTO EMMANUEL KISIMIRI ARUSHA HKL 7MASHAURI FURAHISHA FAUSTINE MWANZA MWANZA HKL 8EBBY EBAYOTH MALILA UWATA MBEYA HKL 9CHARLES M ALBERT PUGU DAR ES SALAAM EGM 10JOSEPH BASILIO KAWAWA IRINGA HGK
- MATOKEO YA MTIHANI YALIYOZUILIWA
Baraza la Mitihani la Tanzania limezuia kutoa matokeo ya:
- Watahiniwa 150 wa Shule ambao hawajalipa ada ya Mtihani hadi watakapolipa.
- Watahiniwa 9 wa shule ambao walipata matatizo ya kiafya na kushindwa kufanya mtihani kwa baadhi ya masomo. Watahiniwa husika wamepewa fursa ya kufanya mtihani kwa masomo ambayo hawakuyafanya kwa sababu ya ugonjwa katika Mtihani wa Kidato cha Sita Mei, 2015.
- Watahiniwa 29 wa shule ambao walipata matatizo ya kiafya na kushindwa kufanya mtihani kwa masomo yote. Watahiniwa husika wamepewa fursa ya kufanya Mtihani wa Kidato cha Sita Mei, 2015.
- MATOKEO YA MTIHANI YALIYOFUTWA
Baraza la Mitihani la Tanzania limefuta matokeo yote ya watahiniwa wawili (02) waliobainika kufanya udanganyifu katika mtihani.
Baraza la Mitihani la Tanzania linapenda kutumia fursa hii kuzipongeza Kamati za Uendeshaji Mitihani za Mikoa na Wilaya, Wakuu wa Shule na Wasimamizi wa Mtihani uliyofanyika Mei, 2014 kwa kuzingatia na kusimamia taratibu za Uendeshaji Mitihani vizuri na hivyo kuzuia udanganyifu kufanyika. Aidha, Baraza linawapongeza watahiniwa wote waliofanya Mtihani wa Kidato cha Sita, 2014 kwa kutojihusisha na udanganyifu.
- KUANGALIA MATOKEO YA MITIHANI
- Matokeo ya Mtihani wa Kidato cha Sita (ACSEE) uliofanyika Mei 2014 yanapatikana katika tovuti zifuatazo:
- www.necta.go.tz au www.moe.go.tz na
- Matokeo yanaweza kupatikana pia kwa njia ya ujumbe mfupi wa maneno (SMS) kwenda namba 15311. Jinsi ya kutuma ujumbe andika:
MATOKEOXNAMBA_KITUOXNAMBA_MTAHINIWA
(Mfano : matokeoxS0101x0503)
Dkt. Charles E. Msonde
KAIMU KATIBU MTENDAJI
16/07/2014