Rais wa Zanzibar na                Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed                Shein (katikati) akijumuika na Viongozi katika futari                aliyowaandalia wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja                jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.
                Rais wa Zanzibar na                Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed                Shein (katikati) akijumuika na Viongozi katika futari                aliyowaandalia wananchi wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja                jana katika viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.
                Mke wa Rais wa zanzibar                Mama Mwanamwema Shein (katikati) akijumuika na weke wa                Viongozi mbali mbali akiwemo Mke wa Rais Mstaafu wa                Zanzibar Mama Shadya Karume (wa pili kushoto) katika                futari iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa                Baraza la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Sheinkwa wananchi                wa Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja jana katika viwanja vya                Ikulu Mjini Zanzibar.
                Akina mama wa Mkoa wa                Mjini Magharibi Unguja wakiwa katika futari iliyoandaliwa                na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi                Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein katika viwanja vya Ikulu Mjini                Zanzibar jana.
                Wananchi wa Mkoa wa                Mjini Magharibi Unguja wakijumuika katika fuitari                iliyoandaliwa na Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza                la Mapinduzi Alhaj Dk.Ali Mohamed Shein jana katika                viwanja vya Ikulu Mjini Zanzibar.
        