Meneja Mawasiliano wa Hifadhi za Taifa,TANAPA Pascal Shelutete akikaribisha mijadala kwa washiriki katika warsha ya Mashirikiano kati ya TANAPA na Vyombo vya Ulinzi na Usalama |
Baadhi ya Washiriki katika Warsha hiyo wakifuatilia kwa makini majadiliano. |
Mhifadhi mkuu Mtango Mtaiko akiwasilisha mada kwa niaba ya Mkurugenzi Mkuu TANAPA ,Allan Kijazi juu ya majukumu na changamoto zinazoikabiri TANAPA kwa ujumla. |
Meneja Ulinzi wa Hifadhi za Taifa ,TANAPA ,Emily Kisamo akiwasilisha mada juu Uhifadhi/Ulinzi wa Maliasili na Changamoto zake(Ujangili) na Mfumo wa Jeshi Usu. |
Baadhi ya washiriki wakifuatilia mjadala. |