Shirika la ndege ya Malaysia limethibitisha kupoteza mawasiliano na ndege yake namba MH17 iliyokuwa ikitokea Amsterdam, Uholanzi kuelekea Kuala Lumpur. Malaysia Airlines imethibitisha taarifa hizo kupitia akaunti yake rasmi ya twitter. Ndege hiyo ilikuwa imebeba watu 295. Taarifa kutoka Moscow zinasema ndege hiyo imepatikana ikiwa imeanguka na inawaka moto mashariki mwa Ukraine.
Vifaaa vinavyodaiwa kuitungua ndege iyo
Shirika la ndege ya Malaysia limethibitisha kupoteza mawasiliano na ndege yake namba MH17 iliyokuwa ikitokea Amsterdam, Uholanzi kuelekea Kuala Lumpur. Malaysia Airlines imethibitisha taarifa hizo kupitia akaunti yake rasmi ya twitter. Ndege hiyo ilikuwa imebeba watu 295. Taarifa kutoka Moscow zinasema ndege hiyo imepatikana ikiwa imeanguka na inawaka moto mashariki mwa Ukraine