Tuesday, July 08, 2014

Majina ya Watanzania Waliofungwa Nje ya nchi Baada ya Kukamatwa na Madawa ya Kulevya



Majina ya Watanzania Waliofungwa Nje ya nchi Baada ya Kukamatwa na Madawa ya Kulevya
Majina 403 ya Watanzania waliokamatwa, kufungwa au kushikiliwa katika magereza mbalimbali duniani kwa makosa ya madawa ya kulevya 'unga'.

Baadhi ya watuhumuiwa wa kiume waliokamatwa kwa makosa ya kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya 'unga'.

Hivi karibuni, serikali ilikiri kukamatwa kwa Wabongo hao nje ya nchi na kusema baadhi yao wanasubiri kunyongwa baada ya kupatikana na hatia. Hata hivyo, serikali ilificha majina ya watu hao.

Ifuatayo ni orodha ya majina hayo na maeneo wanayotoka nchini Tanzania. Kwenye mabano ni hukumu zao.

Abdallah Ally Rashid Mbonde Fredue, Dar (miaka 15 jela), Mzia David Michael, Dar (22), Rashid Mzonge, Magomeni, Dar (maisha), Salum Jumbe Pigigi (maisha), Ramadhan Iddi Juma, Kinondoni, Dar (7), Saleh Happy Hambona, Dar (18), Michael Dalasi Taraja, Temeke, Dar (19) na Juma Omar Mgeni (kunyongwa).

Wengine ni Masumbuko Salum Hassan, Dar (kunyongwa), Luka Joseph Urio, Dar (maisha), Masome Frorian Anthony, Dar (maisha), Salum Mohammed Kitupura, Dar (kunyongwa), Begge Hemed Ahmed, Tanga (15) na Mwanjati James Simon, Dar (maisha).

Wengine ni Mohammed Musa Mohammed, Dar (maisha), Omalla Donald Nyowino, Dar (15), Yahya Ally Seif, Kinondoni, Dar (maisha), Chande Mohammed Chande, Kinondoni, Dar (maisha), John James Amandus, Kinondoni, Dar (kunyongwa), Bantulaki Isihaka Ally, Tanga (kunyongwa), Zungiza Mohamed Ally, Dar (kunyongwa), Rashid Bakari Mzonge, Kimara Suka, Dar (maisha), Mende Katija Mikidadi, Ilala, Dar (maisha), Shame Shame Udai, Dar (maisha) na Mlenzi Mangala Hamisi, Dar (maisha).

Baadhi ya watuhumuiwa wa kike waliokamatwa kwa makosa ya kujihusisha na biashara ya madawa ya kulevya 'unga'. Farida Sarboko Makarani, Zanzibar (kunyongwa), Adam Hariri Mohammed, Magomeni, Dar (18), Said Mfaume Said, hajatajwa wa wapi (kunyongwa), Mohammed Bakari Mkemi, haijatajwa wa wapi (kunyongwa), Mariam Ramadhan Mahimbo, hajatajwa wa wapi (kunyongwa), Julieth Jonathan Jaspher, haikusemwa anakotoka (kunyongwa), Halifa Matumla Ally, haijaandikwa atokako (kunyongwa), Rajabu Salum Mwanyenza, haijaandikwa atokako (kunyongwa), Ismail Mohammed Rajabu Mapusa, Magomeni Dar (maisha) na Hamisi Kombo Ally (kunyongwa).

Waliopo mbaroni ambao pia hawajaandikwa watokako ni: Sephu Abdulrahman, Alfredy Thomas Singini, Lawrence Mbogoni Oni, Mohammed Ibrahimu Kilima, Wilfred Casmir Mushi, Shakira Ahmed Mumba, Jackline Benedict, Rajabu Rashidi Mshare, John Peter Martin, Abdallah Mwalimu Mbaruk, Rashid Mzee Mrisho, Juma Ismail Nayopa, Tsakiris Costa Achelis na Faith Michael Kabambe.

Wengine waliohukumiwa ni Bakari Badi Omari Mneko, Sinza, Dar (17), Masomi Thomas Joseph, Dar (17), Abdallah Iddi Ally, Tabata, Dar (17), Kondo Ally Mohammed (20), Mohammed Abubakar Nazzir (24), Abdallah Anwar Abasi (24), Makuti Al- Jaribu Hassan, Kilwa, Lindi (25), Abdallah Iddi Athuman (24), Mnyamani Hamad Ally, Tanga (22), Mtalu Rajabu Ally Rajabu, Kariakoo, Dar (17) na Shughuli Kibaya Bakari, Tanga (8).

Wengine ni Mfaume Omar Ng'anzi Msuya, Kariakoo, Dar (21), Steven Robert Onay (9), Omar Juma Mang'enge (8), Steven Simon Kanul, Dar (8), Iddi Haji Fumo, Unguja (9) na Seleman Hamisi, Unguja (8).

Pia wapo Athuman Hassan Nash, Magomeni, Dar (8), Seleman Hussein Msimbe (8), Abdallah Farid Twalib, Dar (17), Salim Ally Amani, haikutajwa anakotoka (22), Calist Wilson Mosha, Arusha (18) na Saleh Abdul Omar, Kigogo, Dar (21).

Wengine ni Bugingo Sweetbert Rwezaura, Kijitonyama, Dar (21), Mohammed Omari Ally, Zanzibar (19), Sayula Rashid Paul, hajatajwa atokako (16), Koshuma Geofrey Gabriel, Kijitonyama, Dar (30) na Salim Mrisho Hussein, Tanga (21).

Orodha inaendelea kama ifuatavyo: Riziki Riziki Hamduni, Kinondoni, Dar (19), Bashir Rajabu Kafune, Magomeni, Dar (19), Kharim Mohammed Omar, Ilala, Dar (19), Abubakar Abdul Ligalwike, Kinondoni, Dar (8).

Wengine waliofungwa na miaka yao katika mabano ni Pendo Ernest Kessy, Ilala, Dar (9), Anna Kiula, Kijitonyama, Dar (9), Nuru Shebe Maftah, Mwananyamala, Dar (9), Fatma Rashid, Dar (9) na Naima Abdulhafidh Rashid, Mwananyamala, Dar (9).

Pia wapo Mariam Madaresa, Arusha na Dar (9), Mohammed Omar Ally, Wete, Zanzibar (19), Faidhi Mohammed Abdallah, Kijitonyama, Dar (14), Mohammed Ijumaa Rashid, Mbezi Beach, Dar (10), Omari Musa Abdallah, Tanga (10), Zahra Ayubu Mwila, Korogwe na Kibaha (25) na Shamsa Gulum Shambe, Magomeni Mwembechai, Dar (16).

Wengine waliopo mbaroni ni Jeniffer Kessy, Mwananyamala, Dar, Shadia Issa, Mbezi Beach, Dar, Rosemary Asakwe Kionaumela, Mapipa, Dar na Samir Sandra Khalid.

Orodha ya waliohukumiwa inaendelea: Tatiana Bakari Chambo, Temeke, Dar (11), Ramadhan Maneno Mtumwa, Kijitonyama, Dar (14), Yusuf Herold John, Magomeni (18), Hassan Hiza Sebudu, Tanga (22), Halfa Abdallah Ng'anga, Ilala, Dar (19) na Nelson Anthony Dhinner, Kigogo, Dar (14).

Wengine waliohukumiwa ni Awadh Salehe Awadh, Kinondoni, Dar (24), Hasim Paul Syula, Mapipa, Dar (16), Fussy Abdu Mussa, haijatajwa anakotokea (17), Mtwanzi Carlos Adam, haijatwaja anakotoka (17) na Yusuf Abbas Kilima, Dar (5).

Wafuatao wametiwa mbaroni; Salum Mhibu Mkwawira, Tunduma, Mbeya, Juma Musa Juma wa Zanzibar, Nassor Mohammed Ayub wa Tanga, Jimmy Joseph Kivelege wa Dar, Kilugage Joram Masembo wa Kahama, Shinyanga, Manengelo Abdurahman wa Dar na Hamud Ali Mohammed (mji haukutajwa).

Wengine ni Eric Charles Mkude wa Tanga, Makame Khatibu Ali wa Kiembesamaki, Zanzibar, Abdulwahid Hamisi Mashauzi wa Singida, Said Ally Makame wa Zanzibar, Peter George Gyellah wa Tegeta, Dar, Said Abdallah Mzee wa Dar na Yusuf Chombo Khalid wa Dar.

Wafuatao wamehukumiwa na miaka yao kwenye mabano; Salehe Mohammed Aboubakar, Tanga (20), Abdul Omar Salehe, Dar (14), Omari Hussein Ally, Tanga (14), Kaliro Samson Majani Busagaga, Tarime, Mara (9), Mohammed Salum Mbaraka, Moshi, Kilimanjaro (9), Zuberi Musa Zuberi, Zanzibar na Dar (9), Adam Athumani Udindo (alikataa kutaja anakotoka, 14).

Wafuatao pia wapo mahabusu katika nchi mbalimbali, kesi zinaendelea; Frank Thomas Frank (Moshi), Nasra Hassani Masogoa (Dar), Nice Saidi Mbwana (Tanga na Dar), Josephine Raymond Malibanga (hakutaja atokako), Sara Yuga Mtinda (Singida), Amina Khamisi Bwanga (hakutaja atokako), Flora Frederick Siyame (Dar) na Zawadi Aloyce Henjewele (Songea).

Wengine ni Upendo Eric Shayo wa Moshi, Mariam Haruna Feruzi (Dar), Yusta Riwa (Moshi Kilimanjaro), Watende Sudi Kiwamba (Tabora), Elizabeth Yoram Kwambaza (Korogwe, Tanga), Mariam Shabibi (Dar) na Zahoro Mohammed Nassoro (Tanga).

Wengine waliokamatwa na wako mahabusu ni Rashid Nassoro Maumba (Mpanda), Mohamed Said Mrisho (Tanga), Suleiman Said Mpetula (Dar), Shaban Salum Mnyimani (Dar), Abood Yasser Ali (Tanga), Juma Shabani Ngoma (Tanga), Juma Akida Yusufu (Tanga) na Miraji Yusufu Semahimbo (Tanga).

Wengine ni James Christopher Lukio (Tanga na Dar), Rabin Issa Mbaba (Mafia), Abdallah Rajabu Dole (Dar), James Sakaya Henry (Dar), Bakari Kheri Nassoro (Dar), Faraji Juma Lota (Dar), Gervas Anselm Muganda Matura (Musoma), Rawe Waikama Magarya (Tarime) na Abdulraheem Sadiki Mohamed (Dar).

Wafuatao wamehukumiwa na miaka yao kwenye mabano ila miji waliyotoka Bongo haikutajwa; Rashid Habib Muhsin (9), Abdallah Saidi (16), Hiridi Mamdadi Issa (12), Juma Mohammed Mapande (16), Mwatadi Kulwa Hamisi (16), Hamisi Abdallah Mohammed (9), Erick John Ibrahim (16) na Abdallah Farid Salum (9).

Thuweni Hamadi Suleiman, Kileo Walter Exaudy na Jacqueline Clifford Fitzpatricque (Jack Patrick) hawa bado hawajahukumiwa.

IDADI YA NCHI

Katika orodha hiyo, China wapo Wabongo 65, Brazil 108, Kenya 34, Hong Kong 118, Pakistan 16, Falme za Kiarabu 12, Japan 7, Morihsaz 6, Uingereza 5, Malawi 5, Uganda 4, Oman 3, Uswisi 2, Italia 2, Marekani 2, Argentina 2, Uturuki 1, Ureno 1, Botswana 5, Chile 1, Afrika Kusini 3 na Msumbiji 1.

paparazi aliongea na Kaimu Kamishna wa Tume ya Kuratibu Udhibiti wa Dawa za Kulevya, Aida Tesha (pichani) kuhusu kukamatwa kwa watu hao ambapo alikiri na kusema kuwa serikali inaendelea kufuatilia takwimu za Watanzania wengine ambao wamekamatwa nje ya nchi.