Tuesday, July 01, 2014

KAMISHNA WA POLISI JAMII NCHINI ,CP MUSA ALI MUSA AFANYA ZIARA WILAYA YA SAME


KAMISHNA WA POLISI JAMII NCHINI ,CP MUSA ALI MUSA AFANYA ZIARA WILAYA YA SAME
Kmishana wa Polisi Jamii nchini Musa Ali Musa akikaribishwa wilaya ya Same amabko ametembelea na kufanya ukaguzi kujionea hali ikoje ya namna asakari wanaposhirikiana na jamii pamoja na dawati la jinsia.
Kamishna Musa akikaribishwa kufanya ukaguzi katika Gwaride lililoandaliwa na sakari Polisi wilaya ya Same.
Gwaride maalumu lililoandaliwa kwa ajili ya Kimishana wa Polisi Jamii nchini Musa Ali Musa.
Kamishna wa Polisi Jamii,Musa Ali Musa akifanya ukaguzi.
Kamishna wa Polisi Jamii,CP Musa Ali Musa akisilikiliza maelezo toka kwa viongozi wa jeshi la polisi mkoa wa Kilimanjaro.
Kamishna wa Polisi Jamii,CP Musa Ali Musa akizungumza na viongozi wa jeshi la polisi .
Kamanda wa Polisi mkoa wa Kilimanjaro,SACP Robert Boaz akitoa salamu kwa kamishna wa Polisi Jamii,CP Musa Ali Musa mara baada ya mazungumzo yaliyofanyika katika ofisi ya mkuu wa polisi wilaya ya Same. 
Na Dixon Busagaga wa Globu ya Jamii Kanda ya Kaskazini.