Eneo la Neruka mtoni kijichi kumetokea na ajali mida hii baada ya gari dogo kuingia mtaroni kama inavyo onekana pichani. Chanzo cha ajali hiyo hakijafahamika mpaka sasa.. tupo eneo la tukio tutawapa taarifa zaidi.
Picha na Dar es salaam yetu