Viongozi wa Chuo Kikuu cha Kimataifa cha Tiba (IMTU) cha Dar es salaam wamefikishwa mbele ya Hakimu Mkazi wa Mahakama ya Kinondoni leo wakikabiriwa na mashtaka ya kutupa ovyo viungo vya binadamu. Wakati taarifa kamili ikiandaliwa hebu jionee taswira hizi washtakiwa hao walipofikshwa mahakamani leo
Washtakiwa wakiwa katika gari la polisi
Wakipanda gari baada ya kusomewa mashitaka
Wakitoka mahakamani baada ya kusomewa mashitaka
Washtakiwa wakisubiri kuingia mahakamani.
Picha na Sultani Kipingo wa Globu ya Jamii