Saturday, June 14, 2014

ZIARA YA WANACHUO WA MZUMBE BUNGENI MJINI DODOMA



ZIARA YA WANACHUO WA MZUMBE BUNGENI MJINI DODOMA


 Naibu Spika wa Bunge Mhe.Job Ndugai akiongea na wanachuo kutoka Chuo Kikuu Mzumbe cha Morogoro Mbele ya Ukumbi wa Bunge. Wanachuo hao wako Dodoma kwa ziara ya mafunzo.
 
Naibu Spika  wa Bunge Mhe.Job Ndugai akiwa katika Picha ya pamoja na wanachuo kutoka Chuo Kikuu Mzumbe Mbele nje ya Ukumbi wa Bunge  Wanachuo hawa wako Dodoma kwa ziara ya kimafunzo.  
   
Waziri wa Uchukuzi Mhe.Harrison Mwakyembe (wa pili kulia) akizungumza  na wanachuo kutoka Chuo Kikuu Mzumbe mbele ya Ukumbi wa Msekwa.Wanachuo hawa wako Dodoma kwa ziara ya mafunzo kulia ni Mbunge wa Lupa Mhe.Victor Mwambalaswa, ambaye aliwapa wanachuo hao shilingi million moja taslimu za kuwasaidia kufanikisha malengo yao. 


Mkuu wa mkoa wa Rukwa Mhe.Eng.Stellah  Manyanya akiwapa somo la jinsi ya kupambana na maisha na kufikia malengo wanachuo kutoka Chuo Kikuu Mzumbe mbele ya Ukumbi wa Msekwa Wanachuo hawa wako Dodoma kwa ziara ya kimafunzo.