Saturday, June 14, 2014

Seli imesitishwa baada ya zogo hadi ffu kuitwa shoprite mlimani city

Seli imesitishwa baada ya zogo hadi ffu kuitwa shoprite mlimani city
 Hali iko shwari jioni hii katika shopping Mall ya Mlimani City jijini Dar es salaam baada ya wamiliki wapya wa iliyokuwa Shoprite Stores Nakumatt kuamua kufunga seli iliyozua zogo hata ikabidi leo mchana FFU waitwe kutuliza ghasia. Matangazo yanajieleza nini kitaendelea Jumatatu.