JAMHURI YA MUUNGANO WA TANZANIA
OFISI YA RAIS,
MENEJIMENTI YA UTUMISHI WA UMMA
RATIBA YA UFUNGUZI WA MAADHIMISHO WIKI YA UTUMISHI WA UMMA, VIWANJA VYA MNAZI MMOJA, DAR ES SALAAM, TAREHE 16 JUNI 2014
MUDA | TUKIO | MHUSIKA |
02.00-03.30 | Burudani | MC |
03.30-04.00 | Waalikwa Kuingia Uwanjani | MC/Wageni Waalikwa |
04.00-04.15 | Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma Kuingia Uwanjani | MC/ Kamati ya Mapokezi |
04.15-04.30 | Mgeni Rasmi Mhe. Waziri wa Nchi, OR MUU Celina O. Kombani (Mb) kuwasili | Katibu Mkuu, Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma |
04.30-05.15 | Mgeni Rasmi Kupokea Maandamano | MC |
05.15-05.30 | Burudani | MC |
05.30-05.35 | Kumkaribisha Mgeni Rasmi Mhe. Waziri wa Nchi, OR MUU Celina O. Kombani (Mb). | MC/Katibu Mkuu Utumishi |
05.35-06.00 | Mgeni Rasmi Kufungua Maadhimisho ya Wiki ya Utumishi wa Umma 2014 | MC/ Mhe. Waziri wa Nchi, OR MUU Celina O. Kombani (Mb). |
06.00-06.05 | Kutoa Neno la shukrani kwa Mgeni rasmi | Katibu Mkuu Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma |
06.05-06.20 | Burudani | MC/Kikundi cha Ngoma |
06.20 na kuendelea | Mgeni rasmi kutembelea mabanda ya Maonesho | MC/ Katibu Mkuu Utumishi |
06.20 -06.50 | Burudani | MC/Kikundi |