Friday, June 13, 2014

MAAJABU YAJITOKEZA MARA BAADA YA SOKO LA KARUME KUUNGUA,KITU KISICHOELEWEKA CHABAINIKA JIONEE HAPA

MAAJABU YAJITOKEZA MARA BAADA YA SOKO LA KARUME KUUNGUA,KITU KISICHOELEWEKA CHABAINIKA JIONEE HAPA

 Huu ni mwonekano wa Soko la Karume Baaada ya kuungu hapo juzui

Hiki ni kitu ambacho kilipatikana mara baada ya moto kuzimwa eneo hilo la soko,Kila mtu ana maswali mengiiiiii bila majibu Je ni kitu gani hicho?au wewe ndugu msomaji unaweza tambua ni kitu gani Hiki?