Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu                    Kinana akitazama sehemu maalum ya kunyweshea maji                    mifugo,ambayo yeye mwenyewe aliiizindua
        Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu                    Kinana akimtwisha ndoo ya maji mama wa jamii ya                    kimasai,mara baada ya kuzindua mradi wa maji safi na                    salama wenye thamani ya shilingi milioni 200 na zaidi,                    katika kijiji cha Ilela kata ya Esekii wilayani Kiteto                    mkoani Manyara.
            
                                                  
        Katibu                          Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akiwasalimia wananchi                          mara baada ya kupokelewa katika kijiji cha                          Irkiushbor,wilaya ya Kiteto mkoani Manyara.
                            Katibu                        Mkuu wa CCM,Ndugu Kinana akipata maelezo ya mradi                        wa maji katika  kijiji cha Ilela kata ya Esekii                        wilayani Kiteto mkoani Manyara,Mradi huo una                        thamani ya zaidi ya shilingi milioni 200 na zaidi.
            Katibu Mkuu wa CCM,Ndugu                    Kinana akiwahutubia waanchi wa kijiji cha                    Nalangton,Wilayani Kiteto mkoani Manyara.
            
                        
        Sehemu                      ya Umati wa wananchi wakimsikiliza katibu Mkuu wa                      CCM,Ndugu Kinana alipokuwa akiwahutubia kwenye                      mkutano wa hadhara uliofanyika kwenye uwanja wa                      mpira mjini Kibaya,wilayani Kiteto mkoani Manyara
                        Katibu                      wa NEC Itikadi na Uenezi,Nape Nnauye akiwahutubia                      wananchi wa kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika                      katika uwanja wa mpira mjini Kibaya,wilayani Kiteto                      mkoani Manyara
                        Katibu                      Mkuu wa CCM,Ndugu Abdulrahman Kinana akiwahutubia                      wananchi kwenye mkutano wa hadhara uliofanyika                      katika uwanja wa mpira mjini Kibaya,wilayani Kiteto                      mkoani Manyara.
PICHA NA MICHUZIJR-KITETO MANYARA
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA
          PICHA NA MICHUZIJR-KITETO MANYARA
PICHA ZAIDI BOFYA HAPA








 
