
Njemba
huyo akipokea kichapo kutoka kwa wafuasi wa Ukawa mkoani
Moro.
NJEMBA
mmoja amepokea kipigo kikali kutoka kwa wafuasi wa Ukawa waliokuwa na mkutano
mkoani Morogoro jioni hii baada ya kudaiwa kuwa miongoni mwa waliomteka Mbunge
Rose Kamli wakati wa kampeni jimboni Kalenga, mkoani Iringa.