Wednesday, May 14, 2014

NAMBA ONE KWA KUKUSANYA KODI ZA MAPATO YA NDANI TANZANIA LIVE!!




Mambo hadharani kwenye Mkutano wa ALAT Taifa Wilaya yangu ya MUHEZA yatajwa rasmi kuwa ya KWANZA KITAIFA KWA UKUSANYAJI MAPATO YA NDANI MUHEZA Oyeeeeee !