Thursday, November 15, 2012

Ujumbe wa Shirika la JICA watembelea Gereza Kuu la Ukonga jijini Dar


Ujumbe wa Shirika la Kimataifa la Maendeleo la Japan (JICA) ukionyeshwa vifaa vinavyotengenezwa na wafungwa katika Gereza Kuu la Ukonga jijini Dar es Salaam.
Ujumbe wa JICA ukionyeshwa vifaa vinavyotumika kuwafundishia wafungwa ufundi wa magari.
Kamishna Jenerali wa Magereza, John Minja akimkabidhi zawadi Kiongozi wa msafara wa Ujumbe wa JICA, Bw. Shinya Tomonari.