Friday, November 02, 2012

CRDB yatoa msaada kwa shule ya Sekondari ya Canossa Deborah Muro jijini Dar


 Mkurungenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja katika Benki ya CRDB, Tully Mwambapa akikabidhi cheti kwa mmoja wa wahitimu wa kidato cha nne katika shule ya Sekondari ya Canossa Deborah Muro, baada ya kukabidhi cheki ya Sh.milioni 5 kwa ajili ya ujenzi wa chumba cha kidato cha tano,jijini Dar es Salaam.
 Mkurugenzi wa MasokoUtafiti na Huduma kwa wateja wa Benkiya CRDB,Tully Mwambapa  (kushoto) akikabidhi mfano wa Hundi yenye  thamani ya Sh. milioni 5 kwa Mwenyekiti wa  Bodi ya shuleyaCanossaInjinia Machibya  Magayane kulia wakati wa mahafaliya kidato  cha nne yaliyofanyika hivi karibuni shuleni hapo.katikati ni Mkuuwa shule hiyo Sista AngelaMlipano.
Mkurugenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa  wateja wa Benki ya CRDB, Tully Mwambapa  (kushoto) akipeana mkono na Mkuu wa shule ya  Canossa sista Angela Mlipano mara baada ya  kukabidhi hundi ya sh milioni 5 kwa ajili ya  ujenzi wa vyumba vya madarasa ya kidato cha  tano na sita shuleni hapo wakati wa mahafali ya kidato cha nne yaliyofanyika Dar es salaam
Mkurungenzi wa Masoko Utafiti na Huduma kwa Wateja katika Benki ya CRDB, Tully Mwambapa, akisoma risala katika hafla ya kuhitimu kidato cha nne katika Shule ya Sekondaeri ya Canossa kabla ya kukabidhi cheki ya sh.milioni 5 kwa ajili ya kuchangia ahule hiyo kwa kujenga chumba cha kidato cha tano Dar es Salaam hivi karibuni. kushoto ni Mkuu wa Shule hiyo Sr Angela Mlipani na Mwenyekiti wa Bodi ya shule Eng. Dr ,Machibya Magayane.