Monday, October 08, 2012

TEXAS HEART CHILDRENS HOSPITAL YAISAIDIA VIFAA VYA TIBA YA MOYO YA DR. FERDINAND



MTAALAMU WA MAGONJWA YA MOYO KUTOKA TEXAS CHILDRENS HOSPITAL, DR. FERDINAND MASAU AKIONYESHA MOJA YA KIFAA CHA KUTIBIA MAGONJWA HAYO KWA MMOJA WA WATAALAM KUTOKA TEXAS. TAASISI HIYO YA TEXAS IMETOA MSAADA WA VIFAA KADHAA VYA TIBA YA MOYO KA TAASISI MPYA YA MOYO ITAKAYOJULIKANA KAMA DR. FERDINAND MASAU HEART INSTITUTE INAJENGWA ENEO LA MBWENI MPIJI, DAR ES SALAAM.
MTAALAMU WA TIBA YA MOYO DR. FERDINARD MASAU AKIWAONESHA WATAAMU WA MAGONJWA YA MOYO KUTOKA TEXAS CHILDRENS HOSPITAL JENGO JIPYA LA TAASISI YA DR FERDINAD MASAU HEART INSTITUTE LINALOENDELEA KUJENGWA MBWENI MPIJI JIJINI DAR ES SALAAM, AWAMU YA KWANZA YA UJENZI ITAKAMILIKA MAPEMA MWAKANI.