Wanafamilia ya Aristides Ishebabi wa eneo la Sinza E Dar es Salaam wakilinda vyombo vyao nje ya nyumba walikokuwa wakiishi baada kampuni ya udalali kuwatoa kwenye nyumba hiyo kwa madai kuwa imeuzwa kwa mmoja wa wafanyabishara huku kesi ikiwa Mahakama Kuu Dar es Salaam.Picha na Mpigapicha wetu