Wednesday, October 03, 2012

Mtanange wa Simba na Yanga uwanja wa Taifa na Simba 1 Yanga 1



 Mshambuliaji wa Timu ya Yanga,Said Bahanuzi akijaribu kutaka kuwatoka mabeki wa timu ya Simba katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara unaoendelea kuchezwa hivi sasa katika uwanja wa Taifa,jijini Dar es Salaam.Kipindi cha kwanza kimemalizika na Simba wanaongoza kwa bao 1-0 lililofungwa na Mchezaji Amri Kiemba.
 Kiungo Machachari wa Timu ya Yanga,Haroun Niyonzima akijaribu kutaka kumtoka,Shomari Kapombe wa Simba katika mchezo wa mzunguko wa kwanza wa ligi kuu ya Vodacom Tanzania bara unaoendelea kuchezwa hivi sasa katika uwanja wa Taifa,jijini Dar es Salaam.Kipindi cha kwanza kimemalizika na Simba wanaongoza kwa bao 1-0 lililofungwa na Mchezaji Amri Kiemba.
 Nizar Khalfan wa Yanga akiondoka na mpira.
Beki wa Simba akiondoa hatari iliyokuwa ikielekea langoni mwa timu yake.