Monday, October 08, 2012

MITIHANI YA KUHITIMU KIDATO CHA NNE IMEANZA LEO NCHINI KOTE




Wanafunzi  5839 wa Mkoa wa Iringa hii leo wanatarajiwa kufanya mitihani ya kuhitimu kidato cha nne huku katika idadi hiyo watahiniwa wa shule ni  3644 na wakujitegemea ni  2195.
 Baadhi ya wahitimu wa kidato cha nne wakiwa katika mahafali

 Mtihani wa kuhitimu kidato cha nne unafanyika huku idadi ya wanafunzi walioandikishwa kufanya mitihani hiyo  Nchi nzima 481,414 wavulana 293202 54.67 wasichana  218212 45.33 idadi hiyo ikiwa ni ongezeko la watahiniwa 31,090 sawa na asilimia 6.9 ikilinganishwa na watahiniwa 445,324 walioandikishwa kufanya mtihani huo mwaka 2011

MTANDAO HUU UNAWATAKIA WAHITIMU WOTE KILA LA HERI KATIKA MITIHANI YAO.