
MKE WA DEREVA WA MBUNGE ALIYE VAA KHANGA NYEKUNDU WAKIWA PAMOJA NA DR. MAMA KANAMA

DEREVA MH.MBUNGE AKIWA ANAINGIZWA NDANI YA NDEGE SASA

MH. MBUNGE HILDA NGOYE AKIMUAGA DEREVA WA MH.MARY MWANJELWA

DR.NZUNDA WA MBELE AKIWA ANAMPELEKA MUHESHIMIWA MBUNGE KUPANDA NDEGE


MUHESHIMIWA MBUNGE, MARY MWANJELWA AKIWA ANAPANDISHWA KATIKA NDEGE

HII NDIO NDEGE AMBAYO MUDA SI MREFU ITARUKA KUELEKEA DAR ES SALAAM

MUHESHIMIWA MKUU WA MKOA ABASS KANDORO AKIWA ANAAGANA NA MH.MBUNGE WA VITI MAALUM MARY MWANJELWA

MH. MKUU WA WILAYA WA MBEYA AKIWA ANAMUAGA MH MBUNGE

SHUGHULI YA KUAGA INAENDELEA

VIONGOZI MBALIMBALI WA CHAMA NA SERIKALI

NDEGE HIYO INAONDOKA SASA

WATU MBALIMBALI WAKIPUNGA MKONO WA KWAHELI NA ISHARA YA UPENDO KWA MARA BAADA YA NDEGE KUONDOKA
NDEGE NDIYO HIYO INAKARIBIA KUPAA... KUELEKEA DAR ES SALAAM
****************
TUKIO ZIMA LIMELETWA KWENU NA TONE MEDIA LIVE GROUP, AMBAPO PICHA ZOTE ZIMEPIGWA LIVE NA JOSEPH MWAISANGO NA KURUSHWA MOJA KWA MOJA TOKA ENEO LA TUKIO NA FREDY TONY NJEJE .....
PICHA ZOTE NA: www.mbeyayetu.blogspot.com