Hii ilikuwa ni style ya kuingia ukumbini hapo kwa form 4 watainiwa watalajiwa |
Wanafunzi katika pozi |
Hapa kijana aliamua kwenda mbali na kutanua jukwaa mpaka kwa watazamaji kwa kucheza |
Hapa ilikuwa ni show ya mduara mambo ya pwani |
Hapa ilikuwa ni maonesho ya vazi la ofisini |
Hapa ilikuwa ni maonesho ya vazi la msikitini |
Hapa ilikuwa ni maonesho ya mavazi mbalimbali on stage |
Mwalimu Mugashi akiwapa wanafunzi mambo muhimu yakuzingatia wanaotalajia kumaliza kidato cha nne |