Wednesday, October 17, 2012

Kutoka Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa:Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australia Balozi Mbelwa Kairuki akutana na Mwakilishi wa Heshima wa Australia nchini Tanzania


 Balozi Mbelwa Kairuki (kushoto), Mkurugenzi wa Idara ya Asia na Australia, Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa akimkaribisha Ofisini kwake Bw. Thiery Murcia, Mwakilishi wa Heshima wa Australia hapa nchini alipomtembelea jana
 Balozi Kairuki akiwa katika mazungumzo na Bw. Murcia.
 Balozi Kairuki akimsikiliza kwa makini Bw. Murcia alipokuwa akizungumza nae.
Balozi Kairuki akipitia moja ya nyaraka muhimu alizokabidhiwa na Bw. Murcia wakati wa mazungumzo yao.Picha na Wizara ya Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa