Friday, October 05, 2012

Breaking News> Ajali mbaya yatokea Mwanza leo.



                                             Gari iliyosababisha ajali mwonekano wa mbele.
                                                             Hapa zikiwa zimegongana.
                                                          Mwonekano wa mbele...
                                               Wananchi wakishuhudia ajali ilivyotokea.
 Ilikuwa hali mbaya sana eneo la national ambapo kama unanyowaona watu wanaangalia ndivyo ilikuwa na kusababisha msongamano wa magari sana.
                              Wasamaria wema nao huwa hawakosi kufika kwenye tukio.
                                   Toyota hiace aliyogongwa kwa nyuma ikionekana kwenye picha.
 Mmiliki wa Toyota Hiace bwana John Atanas akiongea na redio Living water fm live kuelezea tukio lilivyotokea.