Wizara wa Habari, Vijana, Utamaduni na Michezo kupitia programu yake ya Intertional Insipiration imeendelea na mkakati wake wa kuwakusanya wadau wa michezo katika Mkoa wa Mwanza leo ili kujadili mfumo wa ushiriki na uendelezaji vipaji vya Michezo.
Akifungua kikao hicho katika Chuo cha Waalimu Butimba Mwanza, Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Ndugu Ndalo Kulujira amesema kuwa leongo la serikali ni kuinua michezo na ndio maana inaandaa mikakakti mizuri ili kuweza kuiwezesha sekata ya Michezo iwe katika kiwango cha Juu.
Mkoa wa Mwanza unakuwa mkoa wa tatu kuhusika katika programu hii baada ya Dar na Arusha.
Kaimu Katibu Tawala wa Mkoa wa Mwanza Ndugu Ndallo Kulijira katikati akielezea mkakati wa serikali huku katibu mkuu wa baraza la habari BMT kushoto na Mkuu wa Chuo cha Butimba kulia akisikilza kwa umakini.
Mwenyeikit wa chama cha soka Mwanza MRFA Jackso Songora.
Katibu Mkuu wa cham cha Soka Nasssibu Maburuki.