Saturday, September 22, 2012

SHEREHE ZA SIMBA NA YANGA KUKABIDHIWA MABASI MAKUBWA ZAFANA TBL



Makamu Mwenyekiti wa Simba, Geoffrey Nyange 'Kaburu' kulia akiwa na Mjumbe wa Kamati ya Utendaji ya Yanga, Mussa Katabaro
Mashabiki
Kulia Rage akijadili na Makamu Mwenyekiti wa Yanga, Clement Sanga. Katikati ni Mkurugenzi Mtendaji wa TBL
Rage akimuonyesha kipengele tata Katibu Mkuu wa TFF, Angetile Osiah
Dole la Rage katika kipengele tata
Sanga akikabidhiana makabrasha ya basi na Mkurugenzi wa TBL
Rage akibadilishana makabrasha na Mkurugenzi wa TBL
Katibu wa Yanga, Celestine Mwesigwa kushoto akisaini kabrasha
Rage akikabidhiwa mfano wa ufunguo

Sanga akikabidhiwa mfano wa ufunguo
Mashabiki wa Simba wakilizindua basi lao
Mashabiki wa Yanga wakilizindua basi lao