Masanja akiomba kabla ya kusimama kuimbaaaa..
Mambo kama yanavyoonekana jukwaaniiii.
Staili ganiii hiyoooo.. jamanii
Hivi ndivyo ilivyokuwa katika Mkutano wa Injili uliofanyika katika uwanja wa Furahisha ambapo Masanja Mkandamizaji akiimba pamoja na vijana wake.
Jamani wito ni kuusimamiaaaaaa.... Big up Pastor to be.