Mbunge wa Iringa mjini kupitia chadema Peter Msigwa akizungumza na wananchi na wanahabari kuhusu kusitishwa kwa maandamano ya kupinga kuwepo kwa RPC Kamuhanda
 |
Mbunge wa Iringa mjini Msigwa akitoka eneo la ofisi akielekea hospitali kwa matibabu ya mguu wake baada ya kusitishwa kwa maandamano |
|