Picha Juu na Chini ni Kikundi cha Ngoma ya Msanja kutoka kata ya Levolosi wakiwa katika picha ya pamoja wakingojea mapokezi ya Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Jakaya Mrisho Kikwete kwenye sherehe za ufungaji wa mkutano wa 14 wa Mazingira uliokuwa unafanyika kwenye ukumbi wa AICC jijini Arusha.
Mmoja wa wapenzi wa kikundi cha Wastara ambaye pia ni mfanyakazi wa AICC akionyesha manjonjo ya Ngoma ya Msanja kwenye bustani ya AICC jijini Arusha.
Pichani kushoto ni Afisa wa Ofisi ya Utamaduni jiji la Arusha Shaban Sulle akiwa na Kiongozi wa Kikundi cha Wastara Bi.Mariam Haji na Mwenyekiti wa Kikundi hicho Bi. Aisha Mbaraka (kulia).