Friday, September 21, 2012

HIVI NDIVYO SIMBA ILIVYOSHINDA KWA MSAADA.



Popout Azam wasema wao ndiyo waliopaswa kuwa mabingwa wa Kombe husika. Jeh! ndugu mtazamaji kwa mujibu wa video hii uliyoiona, unadhani Azam Fc wako sahihi kwa walichokisema?