Saturday, September 22, 2012

"HATA DOCTA SLAA AKILETA NOMA LEO, HATA MBOWE, HATA ZITO, HATA WENJE, CHADEMA ITASONGA!! KWANI CHADEMA NDIYO TUMAINI LA WATANZANIA ILIYOBEBA WAKRISTU NA WAISLAMU AMBAO WANA MATUMAINI YA KUFIKA WANAPOTAKA KWENDA" KAULI YA WENJE ALIPOKUTANA NA WANANCHI