Tuesday, August 21, 2012

Waziri Simba atoa Mkono Wa Eid Kwa Wagonjwa Na Yatima



 
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto,Sophia M. Simba (Mb) akisikiliza utenzi kutoka kwa watoto yatima wa Kituo cha Hisani kilicho Majimatitu Mbagara, jijini Dar es salaam siku ya Eid pili.


 
Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto, Sophia M. Simba (Mb) akimkabidhi Genevive Mlawa Meneja Muhuguzi zawadi za mkono wa Eid kwa niaba ya wagonjwa waliolazwa katika Hospitali ya Ocean Road, Dar es salaam siku ya Eid pili. Chanzo: www.fullshangweblog.com