Fundi wa Tanesco aking'oa moja ya mita iliyokutwa na ghost token katika jengo la Sophia Chang'ombe jijini Dar es Salaam. |
Mita za umeme ambazo zinatuhumiwa kuhusika na wizi huo
.
Meneja wa uhusiano Tanesco, Bi. Badra Masoud akiongea na waandishi wa
habari katika operasheni ya kukamata wezi wa umeme kupitia mtandao{ghost
token}
Meneja wa Sophia House akihojiwa tayari kufikishwa kwenye vyombo vya sheria. |
. Meneja wa Sophia house akikiwaka saini yake kuashilia kushiriki ukaguzi wa mita zake.