Ni Taswira za Mchana wa tarehe 3 Juni 2012 (picha via TembeaTz.blogspot.com)
Watu wakipanda na kushuka
katika daraja la Manzese. Watu wachache hulitumia daraja hilo huku
baadhi wakisema hawalitumii kutokana na kuona tabu kulipanda na wengine
wakisema usalama ni wa mashaka katika eneo hilo kutokana na kuripotiwa
kuwepo kwa vitendo vya uhalifu. (picha: Yoel Mshana via Rundugai blog)
Picha imepigwa kutokea juu, Manzese Darajaji (picha: Yoel Mshana via Rundugai blog)
Ni Taswira za Mchana wa tarehe 3 Juni 2012 (picha via TembeaTz.blogspot.com)
hapa ni kwenye mzunguko, Mtaa wa Mkwepu, Manispaa ya Ilala. (picha: Othman Michuzi "Mtaa kwa Mtaa" blog)
(picha: Othman Michuzi "Mtaa kwa Mtaa" blog)
Ni Taswira za Mchana wa tarehe 3 Juni 2012 (picha via TembeaTz.blogspot.com)
Picha ya Agosti, 2012 (picha via blogu ya Ziro & Tina)
photo via JijiLaDar.com