Bwana James Mbatia.
Profesa Sospeter Muhongo.
Bi. Janet Mbene.
Rais
wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mheshimiwa Jakaya Mrisho Kikwete
amefanya uteuzi wa wabunge watatu wapya kwa mujibu wa mamlaka ya uteuzi
aliyo nayo chini ya Ibara ya 66(i) (e) ya Katiba ya Jamhuri ya Muungano
wa Tanzania.
Wabunge hao wapya ni Profesa Sospeter Muhongo, Bi. Janet Mbene na Bwana James Mbatia.
Uteuzi huo unaanza mara moja.
Wabunge hao wapya ni Profesa Sospeter Muhongo, Bi. Janet Mbene na Bwana James Mbatia.
Uteuzi huo unaanza mara moja.
Imetolewa na:
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
3 Mei, 2012
Dar es Salaam.
Kurugenzi ya Mawasiliano ya Rais,
Ikulu.
3 Mei, 2012
Dar es Salaam.