Kumbukumbu JOSEPH MZENA (BRAZA)
Ni miaka 17 leo (20/10/2011) lakini kwetu ni kama jana. Tena ikumbukwe ni siku ya kuzaliwa baba yetu mpendwa STANSLAUS MZENA) Mpendwa wetu JOSEPH unakumbukwa kwa upendo wako.
Wazazi wako dada yako wadogo zako na watoto wote japo wanaishia kuona picha yako.
RAHA YA MILELE UMPEE EE BWANA NA MWANGA WA MILELE UMWANGAZIE APUMZIKE KWA AMANI AMINA