Wednesday, September 22, 2010

Nani Anafaa kuwa Rais wa Tanzania 2010-2015?

Ndugu Mtanzania najua unaelewa kila kitu kinachoendelea hapa kwetu Nchini. Kila mtu anazungumzia siasa tu.

Je wewe unaona ni nani anafaa kuwa Raisi wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania?

Tembelea hapa na upige kura yako sasa.